Sepon Ltd ni kampuni inayohusika na uuzaji na ufungaji wa vifaa vya umeme wa Jua (Solar system) na Umeme Hifadhi (Backup system) kwa matumizi ya Kanisani, Mashuleni, Ofisini na sehemu mbalimbali zenye uhitaji wa Nishati hiyo.
Tunahusika na kuuza Moduli za Solar za ukubwa tofauti, Betri za Solar, Inverter na Inverter/charger, Fridge na Freezer za Solar, Taa za Solar, Tochi za Solar, Vidhibiti chaji vya Solar, Solar water heater za kuanzia lita mia moja na vifaa vinginevyo vinavyohusiana na Umeme wa Jua.
kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu;
www.sepon.co.tz au wasiliana nasi kupitia E-mail avediusi.severine@aiesec.net au info@sepon.co.tz au seponltd@gmail.com.
Simu: 0753120645 / 0715932120