Makini joo
Member
- Mar 28, 2017
- 22
- 43
Kuna swala linanisumbua hapa kidogo..
KWA ANAEJUA HILI ANIFAFANULIE ILI KUOKOA GHARAMA ZA UMEME..
1. Mfano. Una Friji inayotumia umeme wa AC V240 na una friji unayotumia umeme wa DC 12V. Hii ya AC unaconnect kwenye switch ya umeme, na hii Ya DC unatumia waya wenye Adapter yake nayo una connect kwenye switch ya umeme mkubwa ili hii adaptor i convert Ac into DC.. Swali, je, matumizi ya units za umeme kwenye mita ya luku ni sawa? Kama ukiziacha hizi friji zi operate kwa same masaa 10. ?. Kama ni sawa kwa nini na kama ni tofauti kwa nini?.
2. Mfano mwingine..
Nina mashine yangu ya kutotoleshea vifaranga. (Automatic incubators) inayotumia both AC na DC. . kwa DC inabidi uweke/u-connect nyaya zake direct kwenye Battery iliyofull. Hii ni ili walau kupunguza makali ya umeme wa AC.. Swali, Je,! Adaptor ya hizi machine zinaweza patikana? Ili badala ya kutumia solar/ battery, ukatumia adapter wire ili uunganishe kwenye umeme mkubwa wa AC.. Na je, kama adaptor zipo, matumizi ya umeme yatakuwa yamepungua kwa kutumia hiyo adapter??. Karibuni sana wana jamii ktk hili.. Naomba kuwasilisha.kwa kuanzia hapo.