Umeme wa Congo Librivile kama wa Tanzania

kabindi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
333
120
Kwa wale wanaoshuhudia International Friend match kati ya Brazil na Congo wataona yale yaliyowahi kutokea Uwanja wa Taifa hapa DSM TZ, ndicho kinachotokea uwanjani nchini Congo! tofauti na siye ni kwamba wao wana Emergency Light ambapo haliwi giza totoro!
 
Muongo sio Congo, ungekuwa unaangalia usingetudanganya, nahisi umesimuliwa au huoni vizuri!
 
Back
Top Bottom