Umeme usio kuwa na tija

Umeme usio kuwa na tija

card78

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
49
Reaction score
48
Kwa hali ya nishati nchini kwa sasa ni wazi kwamba matumizi mabaya ya rasilimali zetu haswa katika shughuli za kiuchumi zinazidi kuleta umasikini na matumizi mabaya ya rasilimali muda.

Matumizi ya nishati ya Gesi yameonekana kama ni anasa kwani bei na upatikanaji sio wa kuridhisha ,Je vipi kuhusu matumizi ya majiko ya umeme kwa sasa yaliyoboreshwa kwa kutumia unit chache?

Ni kweli tuko tayari katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwa kujali miti
 
Ngoja tusubiri bwawa la Mwendazake likamilike (kama litakamilika) pengine kutakuwa na unafuu. Nchi ya ajabu sana hii!
 
Back
Top Bottom