napandanashuka
Member
- Oct 17, 2012
- 43
- 10
Wana JF,naomba tushauriane kuhusu hili suala la umeme,tokea bei imepanda ni siku ya 9 tu leo lakini mwenzenu umenishinda kabisa mpaka sasa nafikiria kurudi kwenye taa ya chemli au kibatari,kwa mahesabu ya haraka kama ntaendelea kuweka umeme naona mwisho wa mwezi 30% ya mapato yangu itaishia kwenye umeme,kwa style hii tutaweza kula,kulipa ada,kulipa matibabu,maji,n.k? Halafu kuna hizi gharama za service charge na VAT huongezwa.
Wana JF wenzangu mnamudu hii hali na kama ndivyo mnafanyaje kufanikiwa?
Nashangaa sijaona vikundi vya wanaharakati vikiandamana katika hili
Nawasilisha.
Wana JF wenzangu mnamudu hii hali na kama ndivyo mnafanyaje kufanikiwa?
Nashangaa sijaona vikundi vya wanaharakati vikiandamana katika hili
Nawasilisha.