Bavicha ni baraza lilojaa vijana wajinga na waropokaji wengi!
Mimi nimeangalia habari na umeme hupo...
sio wajinga tu ni Baraza la vichaa chadema(Bavicha) kama huyo luku imemkatikia anaeneza uzushi. Hao vichaa ni kazi maalum wamepewa hiyo
Bavicha ni baraza lilojaa vijana wajinga na waropokaji wengi!
Mimi nimeangalia habari na umeme hupo...
Kuyarudia uliyoandika siwezi mkuu ila soma post namba kumi utanielewa mkuu. Samahani kwa usumbufu.Mkuu nioneshe tusi ili mods wanipe adhabu!
Dah! Kwa hili mnaisingizia CCM. Itakuwa LUKU zenu zimeisha
nipo mwanza town kamanda umeme upo na tumeangalia taarifa ya habari bila tatizoSasa hivi ni saa 19.58
Lakini inavyoonekana TANESCO wamekata umeme sehemu kubwa ili wananchi wasione kilichozungumzwa ubungo hasahasa alipoingia mwenyekiti wa CDM
Serikali na Tanesco wana mambo ya kizamani sana
TUNAJUA HUU UMEME UMEZIMWA MAKUSUDI HILI WATU WASIONE TAARIFA YA HABARI LAKINI SISI TULISHAJUA KUWA SIKU ZOTE SERIKALI INAPOTAKA KUWANYIMA WANANCHI HABARI INAKIMBILIA TANESCO, IKITAKA KUIBA HELA INAKIMBILIA TANESCO
JE KWEKO HUKO UMEME UPO?MIMI NIPO TEGETA
sio wajinga tu ni Baraza la vichaa chadema(Bavicha) kama huyo luku imemkatikia anaeneza uzushi. Hao vichaa ni kazi maalum wamepewa hiyo