Sasa hivi ni saa 19.58
Lakini inavyoonekana TANESCO wamekata umeme sehemu kubwa ili wananchi wasione kilichozungumzwa ubungo hasahasa alipoingia mwenyekiti wa CDM
Serikali na Tanesco wana mambo ya kizamani sana
TUNAJUA HUU UMEME UMEZIMWA MAKUSUDI HILI WATU WASIONE TAARIFA YA HABARI LAKINI SISI TULISHAJUA KUWA SIKU ZOTE SERIKALI INAPOTAKA KUWANYIMA WANANCHI HABARI INAKIMBILIA TANESCO, IKITAKA KUIBA HELA INAKIMBILIA TANESCO
JE KWEKO HUKO UMEME UPO?MIMI NIPO TEGETA