Umeme umekatika nchi nzima.

Umeme umekatika nchi nzima.

Rapha

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
634
Reaction score
201
Sijui kama ni la kweli ama la, ila kwa mkoa niliopo hakuna umeme na baadhi ya watu niliocontact nao wanasema maeneo waliyopo hayana umeme.
 
Acha uzushi...DSM upo wa kumwaga!!!
 
Hata huku Kibaha-Pwani umekatika Wilaya nzima. Mgawo ndani ya nyumba...
 
anayekataa kuwa umeme haujaktika hajui kinacho endelea ni kweli haupo hapa ifakara,mwanza hamna umeme, na kwingi:A S angel:neko
 
Hapa Kyela mkoani Mbeya ulikatika asubuhi ukarudi mchana na saa tano ka,ili usiku huu umekatika tena. What is happening?
 
Hapa Kyela mkoani Mbeya ulikatika asubuhi ukarudi mchana na saa tano ka,ili usiku huu umekatika tena. What is happening?
Tunabadilisha nguzo ili kukabiliana na mvua za alinino!!
Tutakua kwenye service hii mpaka tar 26.09...wananchi tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza na nikiwa kama waziri natanga kwamba kila mwananchi anayetumia luku atapewa unit 40 bure kama kumpoza na usumbufu alioupata,mungu ibariki TZ,mungu ibariki CCM yetu.
 
Back
Top Bottom