Umeme shida,tukiongeza na political unrest, nani atakuja kuwekeza?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
39,574
2,000
Hili ndio swali ninalojiuliza huku nikitafakari dhana nzima ya kuvutia wawekezaji.

Time will tell.
 

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,536
2,000
UTAMCHUKULIAJE MTU ANAE UA CHAWA KWA NYUNDO? wakati WA ukoloni maaskari WA kizungu walifanya kitu kinaitwa Intimidation to Africans, kama njia moja wapo WA kutawala. Kwani kichwa cha Uzi kinasemaje? Nimepiga Kitwanga sijielewi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom