Vipi tena mbona unacheka kijana?hahahahahaha
Yani kama Fundi feniture tu anawatengezea vitanda watu lakini mweyewe analala kwenye kitanda cha kambaHahaaa! machoni kama watu moyoni hawana utu, yaani hata kwake?! sitimbi ndio basi tena.
Afadhali hata fundi furniture anaweza sema anatimiza utamaduni wa kwao, sasa huyu kama yeye hautaki nyumbani kwake si awawekee wanaouhitaji?! Wacha waisome namba saa hizi PM yuko anakagua uwezo wa mitambo ya umeme Dodoma.Yani kama Fundi feniture tu anawatengezea vitanda watu lakini mweyewe analala kwenye kitanda cha kamba
Ila mkuu hilo jimbo kwa tatizo la umeme kwa mimi naona kama ni trela tu,picha yenyewe ni tatizo la barabara ukazunguuke hadi Nanganga,wakati naambiwa kuna njia ya mkato ikitengenezwa hiyo mtu anayeenda Lindi mjini na wewe wa Ruangwa mtafika kama sio muda sawa basi mtapishana kwa robo saa au nusu saa,wakati sasa hivi unafika Lindi mjini saa 6,lakini Ruangwa utafika kama sio 11 basi 12.Hili jimbo ni la hovyo sana pm sijui akifika anakuja kufanya nini mana kila akifika ndiyo kama anakuja kuongeza matatizo.