Kuna wateja watatu tu wa T4 (T3 HV) hapa Tz, ambao wanavuta msongo mkubwa kabisa wa umeme moja kwa moja (132kV) nao ni Zanzibar , Twiga (Wazo) Cement na Barrick Gold , hawa wanalipa 152/unit ......hao unaozungumzia ni wa Tariff D1 ( < 75 units/month )Bei ya umeme kwa T4 unit moja ni tshs 100
Take it as a compliment Mkuu yani umeeelezea vizuri utasema wewe ni Leyla Muhaji afisa habari wa Tanesco!Shukrani ya punda ni mateke siku zote. Ndio maana mda mwingine mtu anakuja ana shida anaishia kujibiwa shudu chanzo chake ni masuala ya kiwaki kama haya.
Shukrani ya punda ni mateke siku zote. Ndio maana mda mwingine mtu anakuja ana shida anaishia kujibiwa shudu chanzo chake ni masuala ya kiwaki kama haya.
asante kwa sahihisho, tarrif 4 ni D1 kwa code labda hapo ndio niliposahauKuna wateja watatu tu wa T4 (T3 HV) hapa Tz, ambao wanavuta msongo mkubwa kabisa wa umeme moja kwa moja (132kV) nao ni Zanzibar , Twiga (Wazo) Cement na Barrick Gold , hawa wanalipa 152/unit ......hao unaozungumzia ni wa Tariff D1 ( < 75 units/month )
Mwananchi namba hapa Tanzania ni Rais wetu mkuu,mfano mdogo tu na kwa jinsi Rais alivyomaliza tatizo lo korosho ,naamini pia Rais wetu ambae uzalendo wake sina shaka nao, akioona huu uzi ni lazima kuna hatua itakafuatia .We ndo umeleta siasa kusema kua John Pombe aingilie kati....una mana gani??
Kwani hakuna Waziri wa Nishati?
Mwananchi namba hapa Tanzania ni Rais wetu mkuu,mfano mdogo tu na kwa jinsi Rais alivyomaliza tatizo lo korosho ,naamini pia Rais wetu ambae uzalendo wake sina shaka nao, akioona huu uzi ni lazima kuna hatua itakafuatia .
Hiyo ndo siasa sasa tena siasa uchwara!
Kama unaona ni mzalendo then wacha kulia lia apunguze bei.
Endelea kua mzalendo...unga mkono bei hiyo
Duuuuh ntahamia Kilimanjaro. Huku Dar mwaka 2015 nilikuwa nikinunua umeme wa 10000 napata units 21.5Zaidi ya unit 80