umeme mbadala ( utundu )

umeme mbadala ( utundu )

katuni

Senior Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
151
Reaction score
77
Habari wakuu. Naomba kushare mawazo yenu juu ya wazo langu ( UTUNDU ) kuhusiana na umeme mbadala.

( Je, itafanikiwa???? Na pia Nini kitatokea kama nitafanya UTUNDU ufuatao???? )

Nina taa ndogo tu ya Solar ambayo yenyewe ina panel. Taa hii pia inaweza wa kuchaji simu. Panel ya hii taa ndogo, sasa mi nataka niitoe arafu nifunge panel ya Watt 10. Battery iliyo ndani ya hii taa ni ndogo, mi nataka niichomoe arafu zile waya niziunge kwenye battery ya gari. Arafu zile taa nizichomoe arafu waya zake nifunge taa nyingine kubwa kidogo zaidi ya zile zilizopo.

Je, nini kitatokea??? je, itafanikiwa??? Naomba mawazo yako.
 
kitakachotokea most likely ni battery ya gari haitafanya ki2 maana taa ni ndogo na haiwezi kuzalisha umeme wa kutosha kuicharge na kama ikitokea isipo sukuma current back to the circuit na kuunguza circuit ya taa kwanza then panel kubwa itatoa umeme mkubwa na circuit itachemka na itaungua after sometime maana haikua designed for such high currents and voltages. That's what i think would happen!
 
Hutapata mafanikio chanya kwa sababu charge controller unayotumia ilikuwa ni mahususi kwaajili ya ile battery ndogo uliyoitoa. Na pia inawezekana ikaungua kwa sababu solar panel utakayoweka itatoa voltage na current kubwa zaidi.

Ushauri...
Tafuta inverter charger ya kitu kama 150W uitumie badala ya hiyo circuit ya kwenye taa. Hapo uhakika kucharge battery ya gari na kupata umeme wa 220V

Habari wakuu. Naomba kushare mawazo yenu juu ya wazo langu ( UTUNDU ) kuhusiana na umeme mbadala.

( Je, itafanikiwa???? Na pia Nini kitatokea kama nitafanya UTUNDU ufuatao???? )

Nina taa ndogo tu ya Solar ambayo yenyewe ina panel. Taa hii pia inaweza wa kuchaji simu. Panel ya hii taa ndogo, sasa mi nataka niitoe arafu nifunge panel ya Watt 10. Battery iliyo ndani ya hii taa ni ndogo, mi nataka niichomoe arafu zile waya niziunge kwenye battery ya gari. Arafu zile taa nizichomoe arafu waya zake nifunge taa nyingine kubwa kidogo zaidi ya zile zilizopo.

Je, nini kitatokea??? je, itafanikiwa??? Naomba mawazo yako.
 
jaribu unaweza fanikiwa mi natumia inverter panel ya watt 10 na battery n50 ya gari, naweza washa taa 6, laptop 2, na radio sema inawahi isha chaji, nawrza mpaka washa na tv. so kwa hiyo yako taa inaweza waka
 
Back
Top Bottom