Umeme kama ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme kama ukimwi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wakitei, Oct 26, 2011.

 1. w

  wakitei Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  HIVI
  rais wangu kikwete uling'ang'ania kuingia ikulu mwaka jana mpaka wanaharakati kupigwa mabom , tukawekwa ndani katika vituo vya police halafu kitu kidogo UMEME unakushinda ?kwani kwani hili tatizo la umeme lilianza 2006? miaka yote hiyo mmeshindwa kulifanya kazi na kulitatua na mmebaki na mipango ya DHARURA kila mwaka Umeme imekuwa kama ugonjwa wa UKIMWI - hauna tiba .tupate dawa za kuongeza siku .
   
Loading...