Umeme Jua naitambulisha PREMIER ELECTRICS

Mkuu hongera sana Mkuu Umeme Jua.. Nimechukua contacts nadhani tutawaciliana ili nipate maelezo ya ziada.. Nina clients ambao nadhani wanaweza kufurahia huduma zako unazozitoa..
big sosoliso karibu sana na hao clients, tuwasiliane pasi na shaka
 
Last edited by a moderator:
mkuu rmashauri karibu tushirikiane katika kusongesha gurudumu la taifa
 
Last edited by a moderator:
mama Mamzalendo dili vipi bado, kama vipi tuwasiliane
 
Last edited by a moderator:
Karibuni ndugu tujenge nchi kwa sasa tunaendelea na mradi wa umemeshaji vijijini. Welcome for your dearly support.
 
Kiongozi bluetooth , nakutafuta
 
Last edited by a moderator:
bluetooth karibu tupo bado
 
Last edited by a moderator:
Mamzalendo hao nyau watakuwa wameshakuwa chui muda mrefu, karibu
 
Last edited by a moderator:
safi sana kamanda .. good move .. tutawasiliana kuweza kupeana maujanja ..
hii ni spirit nzuri tujitahidi kupractise hii fani kwa kweli..
kumbuka mwanzo mgumu ila kazi nzuri kila mtu ataipenda ..
Maganga Mkweli tunasubiri maujanja yako hata milango hatufungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…