Umeme, CCM....kipi ni janga la taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme, CCM....kipi ni janga la taifa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msema hovyo, Jul 4, 2011.

 1. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuna usemi unaosema kwamba ukianguka usiangalie ulipoangukia, bali angalia ulipo jikwaa. Kwa hiyo hata kwenye tatizo la umeme tunatakiwa tuangalia kilicho sababisha. Sasa wengi wanasema umeme ni janga la taifa, lakini mimi nasema tuangalie tatizo kwa mapana yake. Inawezekana janga la taifa hapa ni CCM au Kikwete au Tanesco au Ngeleja? Tutafakari.
   
 2. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa kuwa watu hamchangii basi mimi naanza, CCM ndo janga la taifa. maana CCM ndiyo chanzo cha matatizo yote yanayoikabiili nchi.
   
 3. 2

  2nd edition Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya umepata so topic closed.
   
 4. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  haha, bado nasubiri mawazo mengine
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,063
  Likes Received: 7,280
  Trophy Points: 280
  'J'-anga la
  'K'-itaifa
   
 6. g

  geophysics JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Exam failed: Wamekuuliza kati ya CCM na Umeme wewe hayo uliyoyajibu umeyatoa wapi?
   
 7. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wewe ndo umefeli. Kwenye post yangu ya msingi kuna majina haya hapa CCM au Kikwete au Tanesco au Ngeleja?
   
 8. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hiyo. J_anga laK_itaifa na slogan yake ya A_ri zaidiNGU_vu zaidiKA_si zaidi, unapata(ANGUKA ZAIDI) ndani yaC_hamaC_haM_ahaba/magamba/mafisadi etc
   
 9. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  'Malaria' na 'Kifo' lipi ni janga!? ...kifo kinaletwa na malaria na cha kukizuia hapa ambacho ndio janga kiko wazi
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,465
  Likes Received: 12,720
  Trophy Points: 280
  oooraita oooraita lazma ccm ndo janga la taifa ndo source
  ya sisi kulala giza tororoooooooo haa natamani kuhamia nji nyingine lool
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Acha uchokzi na Mkwe wangu, mwenyewe nimesha-engagekale kachanga kalikozaliwa juzi kuleeeee....ila na-doubt kuhusu thinking capability ya hii family ila naomba labda kale kachanga kaweza kuwa-genius bana.......otherwise hii familia duh.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Malaria= CCM
  Kif0= Mgao
  so solution ni kuzuia Malaria (CCM) isiendelee kutung'ata na kuambukiza ujinga watoto wetu
   
 13. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Uhaba wa miundombinu ya uzalishaji umeme
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,724
  Trophy Points: 280
  kWENYE HILI always............. Source and outcome nyote NI MAJANGA YA TAIFA.
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,724
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa kifo kinaweza kikasababisha hata na kuchinjwa............. HIVYO VYOTE NI MAJANGA...............CCM and MGAO WA UMEME
   
 16. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  tatizo ni jembe na nyundo! Jembe la kutuchimbia kaburi, nyundo inatuua
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Malaria= CCM
  Kif0= Mgao

  so solution ni kuzuia Malaria (CCM) isiendelee kutung'ata na kuambukiza ujinga watoto wetu

  Mimi natofautiana kidogo,TATIZO SIYO ccm NI wanaoiongoza /viongozi
  they are not creative visingizio ndo vilevile kila mwaka
   
 18. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sioni hoja hapa. nani asiyejua janga la kitaifa ni ccm? labda atoke sayari nyingine
   
Loading...