Umeme c tatizo!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
"Je una njia ya kufanya isiwe watatizo ili sie wenye kaz za kutegemea umeme tusilale na njaa?" Swali hili aliulizwa kijana mmoja huko Nanjilinji na muandishi wa habri,naye akajibu "Umeme ndio nini? Huku kwetu umeme c tatizo la kutulaza na njaa"
 
Serikali itatumia pesa nyingi sana maadhimisho ya miaka 50 uhuru wakati wananchi waliowengi hawajui umeme ni nini na hawajui kusoma na kuandika.....
 
Back
Top Bottom