Umemchoka mwanaume omba talaka

Ntakupoteza mapema sana maana round hii nimesimama kama Manara [emoji23] [emoji23]

Usinitishe basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tujaribu kwanza ndio tujue kama nimeshindwa...sinaga tabia ya kukubali bila kujaribu hata kama najua siweziπŸ˜…πŸ˜…
 
Usinitishe basi[emoji23][emoji23][emoji23]

Tujaribu kwanza ndio tujue kama nimeshindwa...sinaga tabia ya kukubali bila kujaribu hata kama najua siwezi[emoji28][emoji28]
Kinachoniuma ni kwamba huo mda unaotaka kuupoteza kwa kujaribu ni heri ungeenda kujifua zaidi
 
Hahaha, acha hizo.

Halafu kuna uzi wa madomo zege nimekuona unashusha points, nikija PM itabidi unipe mbinu.

Sijui mimi sijawahi kujaribu

Ila sio mbaya nikienda kujifunzia kwako manake siwezi kujua siku nikipenda mtu itabidi nianze mie
 
huwa nafanya hivo some time inatiki some time inanikataa adi huwa nadata
Mie inakubali mara zote
Ila nilivyokuwa natumia APP miaka ileee ndio ilikuwa inakataa...siku hizi situmii APP
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…