Umelipenda gari langu?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
Gari hili nikija nalo bongo Je Serikali si watalichukuwa jamani?

58723_479206995434722_685812815_n.jpg
 
Mkuu Mzizimkavu gari lako linafaa utue nalo Mugadisho au DRC utapata mapokezi makubwa. Au siku moja pita nalo mitaa ya Kandahar na Yemen na Tripoli utapigiwa saluti. Kwa Bongo majambazi yataliiba kama siyo Uamsho kulikodisha wakakudhulumu kwa kusema unachangia kazi ya Mnyazi Mungu.
 
Mkuu Father of All Umenichekesha sana nitakuja nalo ili nimpe Mkuu wa nchi awamalize mafisadi wote kwa hilo gari nataka Mkuu wa nchi awamalize mafisadi kwa kutumia gari hilo unasemaje?
 
Mkuu MziziMkavu, mkuu atakumaliza wewe maana unachopendekeza ni kwamba ajimalize mwenyewe. Sikushauri. Hata kama uwezo wake wa kupembua mambo ni haba, kwa hili atang'amua. Hilo gari kama halina soko hapo ulipo si ulipeleke Austin Texas kwa Joji Kichaka au mpelekee Bob Mugabe akawakomeshe wapinzani. Ikizidi ikapungua basi gari lako mpelekee maalim Seif Shariff ili ajitoe kwenye kugeuzwa nyumba ndogo na mafisadi. Nadhani tumeelewana.
 
Mkuu father of All wewe ni SISISI EMU KUMBEEEEEEEEEEEEEE nimekugunduwa.................................
 
Kama unamaanisha CCM yaani Committed Comrades for Manunimission right. Kama ni chama cha majambazi na magaidi wrong. You know what I mean.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Father of All Umenichekesha sana nitakuja nalo ili nimpe Mkuu wa nchi awamalize mafisadi wote kwa hilo gari nataka Mkuu wa nchi awamalize mafisadi kwa kutumia gari hilo unasemaje?

Awamalize his brothers in business!?? no way!, ndo kwanza atawapa polisi liwe linatumika kwenye mikutano ya CHADEMA,
 
Back
Top Bottom