Umelewa?

Excellent, hivi siku hizi unatoka na nani? Manake huu ualimu wa kilabu cha mataptap sijui ulikuwa manufactured wapi!

we sema umeshindwa zoezi,ninaye toka naye anafanya kazi banana breweries.
 
wapi bana?
Hayo manamba si unayajumlisha kwa kuyaunganisha instead of numericale? Ndo unapata hizo figure zenye umeainisha hapo juu...
Mfano: 7+7, ukifanya presumption kuwa hizo si namba ila ni michoro tu, ukigeuza 7 ya kwanza halafu ukiifungamanisha na 7 ya pili unapata umbo la triangle.
Hapo je?
Haya, amka kumekucha!
kwahiyo mda wote ulikuwa unahangaika kutafuta jibu?
 
2+2=samaki
3+3=8
7+7=pembe tatu
4+4=mshale
8+8=kipepeo

umeelewa nachomaanisha?
Excellent,hv huon mie ambae nilisoma inchi isiyofundisha hesabu unanione?au ndio unaninyanyapaa!!!!
Naishia kuona kizungu zungu tu hapo walah!
 
Excellent,hv huon mie ambae nilisoma inchi isiyofundisha hesabu unanione?au ndio unaninyanyapaa!!!!
Naishia kuona kizungu zungu tu hapo walah!

Cantalisia nitakuulezea halafu utajiuliza mwenyewe kivipi sijagundua?
 
Haya nasubiri bana,
Nikijua tu humu ofin kuna mtu nitaenda kumzingua nayo!!!

yaani 2+2=samaki,ina mana hizo mbili zikigeukiana zinakaa kama mchoro wa samaki vile
3+3=8 mana yake ukifanya zigeukiane zinaonyesha ni nane
7+7=pembe tatu means zikigeukiana zinaonyesha kama kama pembe 3 ilivyo
8+8=zikigeukiana au kuziunganisha zinaonekana kama kipepeo
4+4=mshale,means zikigeukiana zinaonekana kama mshale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom