Umelala,ukaota umekufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umelala,ukaota umekufa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Jan 25, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Umelala,ukaota umekufa,uko mbinguni,ila malaika akakwambia unanafasi ya kurudi tena duniani.Ila uchague,urudi kama kuku au kama bata.Ukaöna bora kuku.Ukaambiwa lazima ufanye mazoezi ya kutaga,basi ukasukuma,likatoka yai zurii,ukasukuma tena,likatoka lapili zuri sana.Ukaamka,kucheki,dah, umejisaidia ...!
   
 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Huu ni ugonjwa wa akili. Ama kwa hakika kama ilivyo vigumu kujisadia kwenye maji ndivyo ilivyo vigumu kujisaidia kitandani
   
 3. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  haha
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Uuuuuwi!
   
 5. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmhhh...
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  mkubwa umefanya utafiti mzuri.
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ni kweli watu wengi wanajisaidia kwenye maji hata taasisi tu zinaelekeza miundombinu yake kwenye vyanzo vya maji
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Yaani tayari nimeisha isikia harufu ya hilo yai viza lako ulilotaga usiku wa kuamkia leo
   
 9. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hivi kunamtu aliwa ota kafa............wataalam wanasema haiwezekani ukaota umekufa...........

  Ila hii kali
   
Loading...