shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
duh..sometimes kwenye kauli kama izi inabidi nijikaze tu!!
Babe hujasoma uzi wake
Wewe ni mtamu kuliko kitu chochote nakupenda
duh..sometimes kwenye kauli kama izi inabidi nijikaze tu!!
Naona haka msemo kunazidi kupata chat hapa mjini, ila kiukweli ukitaka ngumi zilike, ugomvi usiiishe, we niambie umekuwa mtaamuuu" Kwakweli hatutaelewana sababu hizo ni habari za kishoga.
Mi niwe mtamu mwanamke kwani, mwanamke ukimuambia hivyo ni sawa si mwanaume na ndevu zangu, so tuheshimiane tafadhali, tusijetoana damu bure.