Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Mie nimekula basi
Ukumbuke na kufanya mazoezi usiwe kibonge mzembe.Breakfast…. Mtori na chapati 1
Lunch.. chips yai na fanta..
Hatuwezi tupia picha sbb kuna uzi tayari spesho wa kupost misosi
Aisee malaya tenapole kwakukosa chakula.letanamba nikutumie muhamala chap ukale
hehehe! eti hakiwashi.....Haha
Sa kwa taarifa yako sina kitambi cha kutokea hivyo. Pia hakiwashi, so haina noma 😂😂
😄😄Kwanini mkuu! Hapo tulikuwa shamba tunanunua mpunga, kwa kuwa eneo lote lilikuwa tifutifu tukaona haina noma tuvute pizza yetu hapo kisha tuitafuneHiyo picha ni chai..