Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Ni muundo wa uongozi uliokosewa?
Ni aina ya viongozi wasio sahihi?
Ni aina ya watu wasioongozeka?
Au ni vile mataifa makubwa yanatuonea!
Umekosea wapi taifa langu!
Ni wazi kwamba hatuna umoja wa kitaifa na ni wazi kwamba kila mmoja anachimba kaburi la mwingine
Kabla hatujaanza kuhangaika na Marekani tuongee kwanza sisi wenyewe.
Baba anaweza kuwa na nguvu kweli lakini mtoto akichukia akaweka mkono mmoja wa mchanga kwenye chakula wote wanalala njaa.
Na ndio tulikofika!
Hatutaweza kwenda mbele kibabe, tuongee kama taifa kwanza!
Tuongeeni jameni!!!
Sent using Jamii Forums mobile app