Umejisikiaje ulivyoiona hii picha?

Pal hii picha imetolewa hapa hapa (don't know if you have seen it) Good thing ile inataka uipe maneno of what you can say about the pic. Na I repeat inaonesha women are Great at multitasking production and reproduction at par.

How do I feel....

I am proud that yaonesha wazi kabisa kua women ni hard workers.... If kaona aje kazini na mtoto na afanye kazi ina maana there is something extra anapata ya kuendeshea maisha (hata kama ni ndogo - but something is better than nothing); Ukiaangalia saana hii picha it is not that bad compared to the sorry states of lives naonaga wanawake wengine ambao huniumiza moyo wangu mpaka I wish ningekua sijamtia machoni for mara nyingi inakua iko nje ya uwezo wangu kuwez msaidia.

The woman looks healthy and content, the baby looks healthy too na sleeping peacefully; Hata the product is of good quality it seems.
 
natamani kuifanya iwe avatar yangu, lakini naogopa wenye haki za watoto hawatakawia kunishtaki jf nikaishia kuchimbwa mkwara
 
natamani kuifanya iwe avatar yangu, lakini naogopa wenye haki za watoto hawatakawia kunishtaki jf nikaishia kuchimbwa mkwara



hahahah.... Yule mtoto wa kwenye sinia umempeleka wapi Ndyoko?
 

Didn't see it.
 
Mbna fresh 2, mkuu jarbu kuzunguka pande za mtwara vijijini waweza toa chozi.
 
Reactions: EMT
I sensed so... Enways yours is a different angle... Would like to know what/how you feel....

Thought the little one down there was also for sale kabla ya kushtuka.
 
Mtoto yuko safe,mama kazini na mchina kifuani.
 
Thought the little one down there was also for sale kabla ya kushtuka.



God! Umenifanya nicheke! Dah.... Enways as you can see not for sale.... And pole kwa kushtuka.
 
Reactions: EMT
God! Umenifanya nicheke! Dah.... Enways as you can see not for sale.... And pole kwa kushtuka.

Nishapona, thanks. Ila nimependa hizo nyanya. Nzuri kwa kachumbari. Kwa staili hii mwanamke kuwa mjasirilimali na kufanikiwa ni kazi kubwa. Unadhani wakati hiyo picha inachukuliwa, mume, if any, or baba mtoto alikuwa wapi na anafanya nini?
 
to be honest, hiyo picha inanifanya nijisikie vibaya

Huyo mtoto hayuko salama kabisa hapo kiafya...




Shem wanawake wengi wana hali mbaya saaana. Ukibahatika kuzunguka katika maeneo ambayo wanawake wako underpreviledged, am telling you huwezi tumia pesa yako vibaya hata for almost a month just out of guilt. Huyo mama hapo... beleive me, she is good - na mtoto hapo sio mbaya saana. Pana kivuli, mama yupo lazima achungulia mara kwa mara... Life goes on.
 
Nishapona, thanks. Ila nimependa hizo nyanya. Nzuri kwa kachumbari. Kwa staili hii mwanamke kuwa mjasirilimali na kufanikiwa ni kazi kubwa. Unadhani wakati hiyo picha inachukuliwa, mume, if any, or baba mtoto alikuwa wapi na anafanya nini?


Alafu sie tuliko huku kuna huhaba wa nyanya ile mbaya... Ukitaka ununue nyanya zakutosha vizuri for two or three days inabidi ununue kama 5 thou.... hapo bado hujanunue ingredients zingine na the food itself. Ingewezekana kuzotoa kwenye screen hapa would have done that...lol

Hapo baba watoto atakua kazini na yeye.... Likely ni kazi ya hali ya chini kidogo, coz from how I understand men, kila mmoja (at least a true family man) wants what is best for the family and that kwa huyo mama is the best they can afford hapo.

Kama si mvivu wa kijiweni ama keshakimbia majukumu...lol
 
Reactions: EMT

Hope mafuriko yakitokea ghafla hapo atamkumbuka mtoto.
 

Na huyu akirudi nyumbani jioni ni kupika, cleaning and washing in other words!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…