Umejisikiaje ulivyoiona hii picha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umejisikiaje ulivyoiona hii picha?

Discussion in 'Jamii Photos' started by EMT, Jan 4, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Pal hii picha imetolewa hapa hapa (don't know if you have seen it) Good thing ile inataka uipe maneno of what you can say about the pic. Na I repeat inaonesha women are Great at multitasking production and reproduction at par.

  How do I feel....

  I am proud that yaonesha wazi kabisa kua women ni hard workers.... If kaona aje kazini na mtoto na afanye kazi ina maana there is something extra anapata ya kuendeshea maisha (hata kama ni ndogo - but something is better than nothing); Ukiaangalia saana hii picha it is not that bad compared to the sorry states of lives naonaga wanawake wengine ambao huniumiza moyo wangu mpaka I wish ningekua sijamtia machoni for mara nyingi inakua iko nje ya uwezo wangu kuwez msaidia.

  The woman looks healthy and content, the baby looks healthy too na sleeping peacefully; Hata the product is of good quality it seems.
   
 3. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kivipi? Hili ndio life la uswazi.
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  natamani kuifanya iwe avatar yangu, lakini naogopa wenye haki za watoto hawatakawia kunishtaki jf nikaishia kuchimbwa mkwara
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  hahahah.... Yule mtoto wa kwenye sinia umempeleka wapi Ndyoko?
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Didn't see it.
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Mbna fresh 2, mkuu jarbu kuzunguka pande za mtwara vijijini waweza toa chozi.
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  I sensed so... Enways yours is a different angle... Would like to know what/how you feel....
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Thought the little one down there was also for sale kabla ya kushtuka.
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mtoto yuko safe,mama kazini na mchina kifuani.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  to be honest, hiyo picha inanifanya nijisikie vibaya

  Huyo mtoto hayuko salama kabisa hapo kiafya...
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  God! Umenifanya nicheke! Dah.... Enways as you can see not for sale.... And pole kwa kushtuka.
   
 13. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Nimeangalia hayuko salama si kiafya tu hata kiusalama
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Nishapona, thanks. Ila nimependa hizo nyanya. Nzuri kwa kachumbari. Kwa staili hii mwanamke kuwa mjasirilimali na kufanikiwa ni kazi kubwa. Unadhani wakati hiyo picha inachukuliwa, mume, if any, or baba mtoto alikuwa wapi na anafanya nini?
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Shem wanawake wengi wana hali mbaya saaana. Ukibahatika kuzunguka katika maeneo ambayo wanawake wako underpreviledged, am telling you huwezi tumia pesa yako vibaya hata for almost a month just out of guilt. Huyo mama hapo... beleive me, she is good - na mtoto hapo sio mbaya saana. Pana kivuli, mama yupo lazima achungulia mara kwa mara... Life goes on.
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Alafu sie tuliko huku kuna huhaba wa nyanya ile mbaya... Ukitaka ununue nyanya zakutosha vizuri for two or three days inabidi ununue kama 5 thou.... hapo bado hujanunue ingredients zingine na the food itself. Ingewezekana kuzotoa kwenye screen hapa would have done that...lol

  Hapo baba watoto atakua kazini na yeye.... Likely ni kazi ya hali ya chini kidogo, coz from how I understand men, kila mmoja (at least a true family man) wants what is best for the family and that kwa huyo mama is the best they can afford hapo.

  Kama si mvivu wa kijiweni ama keshakimbia majukumu...lol
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli wanawake ni multitasking...
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hope mafuriko yakitokea ghafla hapo atamkumbuka mtoto.
   
 19. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Na huyu akirudi nyumbani jioni ni kupika, cleaning and washing in other words!
   
 20. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...Mama AFRICA,USIKATE TAMAA-KUTA KUCHA TU.
  ...........................................................................!!!
   
Loading...