Ndio hapo anakuja kugundua kashachelewaHuu Ni umri wa mashauzi na kujiona mjanja. Wanakuja kugutuka saa kumi alasiri
Unanifunguliaga Mimi tuPM yangu iko closed 😃😃,, au unataka nifungaje😃😃😃🤔
Aisee 😃😃😃,,, Kwani na wewe bado unatafuta ndoa mkuu😄😄🤔Unanifunguliaga Mimi tu
Ndio kijifariji kwamba hata usipoolewa utaishi tuSio kujifariji😃😃,, ni kwamba sitaki kujipa stress zisizo na msingi
Nina Mjukuu anahitaji Mke, fanya mpango ulete mahari 🤪Ntaoa
Unataka nikuoe kwani?Aisee 😃😃😃,,, Kwani na wewe bado unatafuta ndoa mkuu😄😄🤔
Kuna aliyewahi kufa sababu ya kukosa ndoa kwani😃Ndio kijifariji kwamba hata usipoolewa utaishi tu
me nishaolewa tayari 😄Unataka nikuoe kwani?
Aaah wapi UONGOme nishaolewa tayari 😄
Kwa sababu gani ?Ntasumbua sana waganga....sanaa
Hakuna Ila sasa Giza likiingiaKuna aliyewahi kufa sababu ya kukosa ndoa kwani😃
ANa hela?🤒👍Nina Mjukuu anahitaji Mke, fanya mpango ulete mahari 🤪
Ndio mkuuNa utaoa kweli sio utani
Hahaha..........hela ya kukuhudumia kama mke anayo.ANa hela?🤒👍
😆😆 utakua hukosi route za bagamoyo,msata kwa kina mshanà,Tanga! Hahahah..chale had kwenye kissmeNtasumbua sana waganga....sanaa
Utaoa mdoliNdio mkuu
Hanifai...!nna alergy na mambo ya shamba..labda nikimuoa mtupe mtaji😋Hahaha..........hela ya kukuhudumia kama mke anayo.
Ila ujifunze shughuli za shamba maana ndiyo kazi zake 🤪
Ah wapUtaoa mdoli