Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Wewe msichana umejipangaje usipoolewa?
Ah..potezea..leo wkndWw si mke wa mtu. 😳😳
Au unatudanganyaga sio
Na utaoa kweli sio utaniNtaoa
Kuolewa hujui maana yake?Kwani kuolewa ni nini
HatariSiku hizi vijana wote,wa kike kwa kiume,wanaogopa ndoa.Hatari sana!
Mwanaume hata akiwa na miaka 100 anaweza akaoa akitaka Ila mwanamke daah akivuka 40 tu tayari jua limezama kuolewa ni ndoto za Ali NachaAhsante Mwenyezi Mungu kwa kuniumba Mwanaume
30 tu anaanza kwenda kwa mwamposaMwanaume hata akiwa na miaka 100 anaweza akaoa akitaka Ila mwanamke daah akivuka 40 tu tayari jua limezama
Mwanamke kwa mujibu wa maumbile ikifika 18/19/20 inabidi tayari awe ashaolewa yupo nyumbani na mmewe sasa ikiwa kinyume chake ni shida mara paa 40 hii hapa30 tu anaanza kwenda kwa mwamposa
Huu Ni umri wa mashauzi na kujiona mjanja. Wanakuja kugutuka saa kumi alasiri18/19/20
Sio kujifariji😃😃,, ni kwamba sitaki kujipa stress zisizo na msingiUnajifariji?
Fungua PM nikuambie kituSio kujifariji😃😃,, ni kwamba sitaki kujipa stress zisizo na msingi
PM yangu iko closed 😃😃,, au unataka nifungaje😃😃😃🤔Funga PM nikuambie kitu