Umejijengea GEREZA LAKO MWENYEWE

Umejijengea GEREZA LAKO MWENYEWE

Huwezi kula vyombo kisa mwezi mtukufu 'NYAMBAFFF'

nendeni kafungeni na Mungu wenu fildausi kama anawapenda kweli sio mnaona kila mtu duniani shetani akiishi maisha yake
 
Ukitaka hii mada lets go for the worst...
Dunia ina ustaarabu wake. Huwezi fanya kitu kwa sababu una uhuru wa kufanya. Uhuru wako unaishia pale uhuru wa mwingine unapoanzia.

Tuseme je unaweza kukata gogo hadharani? Je unaweza kuwa unajambajamba mbele ya watoto? Unaweza kula mavi? Unaweza kupiga kelele mbele za watoto?

Uhuru una mipaka una kiasi. Ukitaka tusiwe na mipaka binadamu sasa tungekuwa watu wa hovyo. Mipaka ni muhimu.
 
Daah ila we jamaa ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom