Umejifunza nini kutoka kwao?

Umejifunza nini kutoka kwao?

biggirl

Member
Joined
May 25, 2012
Posts
66
Reaction score
12
Siku moja, baba tajirialienda na mtoto wake safari. Alitaka kumuonyesha ni jinsi gani mtu anawezakuwa masikini sana wa mali. Walifikia shamba moja la familia ya kimasikini. Safarinikurudi nyumbani, baba akamuuliza kijana wake, "Umeona ni jinsi gani walivyomasikini? Umejifunza kitu gani?".
Kijana akasema, "Tuko na mbwa mmoja, waowana wanne, tuna bwawa la kuogelea(swimming pool), wao wana mito(river's), Tunawasha mataa mengiusiku, ,wao wana nyota/mwezi angani, tunanunua vyakula,wao wanapanda na kuvuna shambanimwao, tuna uzio wa kutulinda, wako na majirani karibu zaidi, tunazoencyclopedias, wanasoma biblia." Kwahiyo wametuzidi sana, "Thanks dadfor showing me how poor we are."

MORAL LESSON: It's not about money that makeus rich, it's about simplicity of having God in our lives.♥wewe una mtazamo gani?
 
I realy like this one . . . . . .!
 
si niondoe umeme
nitegeme mwezi na nyota?
please....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom