Umejifunza nini katika hii picha!?

Umejifunza nini katika hii picha!?

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Toa mtazamo / maoni/ulichojifunza.
IMG_20180610_114559.jpg
 
KAMA KAGOMEA KITU.... SO IPO KAMA WANAMUOMBA HUYO ALOKAA. BAADA YA KUKOMOA KITU LAAABDA
 
"Huyu mwanamke anajisumbua bure tu kumpa ushauri huyu jiwe. Sisi wanaume wenzake tumemshindwa"
 
kama trump amekuja kuitwa aende mahakamani
 
nasema nimekataa hata mnipigie magoti kodi itatozwa tu kwenye bidhaa zinazotoka kwanye nchi zenu
 
"Nasema hivi hatuitaki Urusi katika G7, tafuta pa kumuweka" huyo mama anasema.

"Eti eeh" Trump anamjibu.
 
Back
Top Bottom