Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,517
- 30,584
Ronaldo alishaprove kwa mengi hatuhitaji ubishani tena na hawa mashabiki wa Andunje.Huu uzi naiona vita ya mashabik wa njiti na robot
Kwahiyo messi ni sawa na ronaldo + zuber +dramgaard + pedri(wa3) + de brune + sterling
Utakuwa una utani na mashabiki wa ronaldo wewe..
1 ana magoli mengi kuliko Messi
2. Amecheza ligi nyingi bora kuliko Messi.
3. Ana wafuasi wengi kuliko Messi.
4. Ana hela nyingi kuliko Messi.
5. Ana mademu wengi kuliko Messi.
6. Ana watoto wengi kuliko Messi.
7. Amecheza katika vilabu vinne vikubwa kuliko Messi.
8. Ana international trophies kwenye timu yake nyingi kuliko Messi.
9. Etc.
Kitu pekee andunje anamzidi Ronaldo ni Ballon d or na magoli ya Free kicks