Umejiandaaje pale Familia yako itakapokutenga?

Taikon wa fasihi naikubali sana kazi yako. Huwa nikiona uzi wako lazima nimpe simu mdogo wangu nae apitie madini yako maana yeye hana smartphone.

Hongera sana mkuu kwa kumulika nyanja mbalimbali za maisha.
 
UTAFANYAJE PALE FAMILIA YAKO ITAKAPO KUTENGA?

Anaandika, Robert Heriel

Pengine hujawahi fikiri, na wengi hatufikirii Jambo hili, hata likitokea tunaona Kama ndoto Fulani hivi.
"Watoto wangu wanitenge? Haiwezekani!"
" Mke au mume wangu anitenge? Haiwezekaniki!"
Wengi hufikiri hivyo, tena wengine huzijali familia ZAO Kwa upendo mwingi mwingine upendo uliopitiliza.

Lakini kama kuna Jambo ambalo kizazi cha sasa kinapaswa kulitarajia basi ni SUALA LA KUTENGWA NA FAMILIA YAKO.
Ninaposema Familia yako ninamaanisha Wewe, mwenza wako na watoto wako. Sio familia ya wazazi wako,

Dunia ya leo imekaa kimtego mtego, akili zaidi ni muhimu kuliko Imani na hisia.
Kuitenga akili yako ni kuiharibu future yako.

Taikon Kwa jicho pevu linaniambia kuwa miaka ijayo wengi wetu tutatengwa Kama sio kutelekezwa na wanafamilia zetu wenyewe, watoto wetu tuliowazaa Sisi wenyewe, na wenza wetu tuliowapenda Kwa mioyo yeti na kuwatumikia Kwa miaka mingi.

Swali: je Tumejiandaaje?

Pengine usinielewe vizuri, pengine wengine wakaniona Taikon nimechanganyikiwa na kuvurugwa na mambo kichwani. Ila siku zote Taikon ni mtu ninayeyazungumza mambo Kwa uwazi pasipo kumpendelea yeyote.

Siku moja hautaamini, watoto uliowasomesha na kuvuja jasho na damu ili wafanikiwe wakikutenga na kukuona kero, wala sio mbali ni kesho kutwa tuu.

Swali; umejipangaje?

Niliwahi kusema; maisha kila siku yanatufundisha kujitegemea wenyewe na kumtegemea Mungu pekee yake ili tuwe na furaha ya kweli. Kwa maana furaha ya kweli ipo katika kujitegemea na kumtegemea Mungu.

Hujanielewa?

Jipange, jiandae, jidhatii na Linda hatma yako.
Hatma yako usiiache Kwa yeyote Yule hasa Kwa dunia ya sasa. Hutak kuniamini? Shauri yako!

Ni siku hiyo ukisikia Huyu mtoto sio wakwako ndipo utakapomkumbuka Taikon baada ya yeye kufanikiwa.

Ni siku hiyo mtoto wako WA kumzaa atakapo kuambia Baba/mama; familia yake nayo inamhitaji, inamajukumu mengi hivyo anashindwa kukuhudumia. Ndipo utakaponikumbuka Taikon wa Fasihi.

Ni siku hiyo ukimsikia Mkeo akikuambia tuachane tugawane Mali. Ndipo utakaposema ewaa! Taikon

Ni siku hiyo Mumeo atakapo kufurusha uondoke nyumbani kwenu anataka kuoa mke mwingine, utasema kuna mtu aliitwa Taikon aliwahi sema haya.
Binadamu hawakumbukagi Mema siku zote wanakumbuka mabaya Kwa sababu ya ubinafsi na ubaya walionao

Nataka kukuambia, hakuna anayependa kuombwa ombwa hasa akiwa anashida zake pia. Hata Mungu aliyekuumba hapendi uombeombe kwake.

Kila mtu atabeba msalaba wake, hiyo ni SHERIA muhimu kila mtu mwenye akili lazima aiweke kichwani.

Baba au Mama kumuomba omba mwanao kutamfanya akutenge, kutamfanya asikusalimie mara Kwa mara kwani anajua kila akikusalimia kazi yako kulia shida. UTATENGWA! Utake usitake.

Taikon huwaga nasemaga ukweli wote hata kama unauma, najua wanadamu wengi wanapenda kujionyesha kuwa ni wema na hiyo huwafanya kuwa wanafiki.

Ili usitengwe kuna mambo lazima uwe nayo!

Lazima uhangaike kuyapata, ukifanikiwa kuyapata basi huenda utakuwa umejiweka katika nafasi nzuri ya kutokutengwa.

Ni lazima tujipange vijana, usije ukawa Kama Mpumbavu ukasema siku hizi hatuzeeki hivyo unaponda maisha bila kujiandaa na Pambano lako la mwisho la uzeeni. Unasema utakufa kabla ya uzee, haya vipi usipokufa, miaka sabini ikakukuta upo Duniani na huna hili wala lile.

Mjini pamekushinda kununua viwanja basi nenda vijijini Huko kanunue mashamba walau ya laki 3. Jenga kibanda hata cha matope ukijiandaa na Pambano la mwisho.

Andaa mazingira, tafuta Maeneo potential Kwa ajili ya kujihami.

Sio ununue Maeneo yasiyoeleweka, tabia ya nchi mbovu, hakuna rutuba na wala hakuna mifumo ya maji Kama mito au mabwawa.

Eneo kubwa mi muhimu kwani litakusaidia kuendeshea shughuli zako, kama kufuga kuku, Mbuzi, ng'ombe, kupanda Miti ya matunda na kulima wakati mwingine.

Angalau uwe na heka tano mahali kabla ya miaka 45 Kwa ajili ya kujiandaa wewe Kama wewe endapo utatelekezwa au kususwa.

Usijeiga Wahindi maana kuna Vijana wajinga Sana. Unaiga wahindi kwani wewe mhindi?
Unaiga Wazungu kwani wewe Mzungu?

Kila jamii inamifumo yake ndugu zanguni.

Mbali na Ardhi Kama utapata nafasi JIPANGE kuwa na miradi mingine midogo midogo ambayo utakusaidia pindi ukitelekezwa.

Vijana wa siku hizi usiwategemee hata kidogo, watakutelekeza hapo licha ya kuwa wewe ndiye Mama au Baba Yao.

Ninayo mifano ya kutosha juu ya hili. Ikiwa mifano hii inatokea miaka hii, hujiuliza miaka ishirini au thelasini ijayo wakati wewe ukiwa Mzee itakuwaje?

Kumbuka binadamu ni mnyama aliyeji-brand, Kama unavyoona Wanyama wanavyoishi ndivyo Sisi tutakavyoishi huko mbeleni.

Usizae Kwa lengo la kuja kusaidiwa na watoto.

JIPANGE.

Mumeo au Mkeo huyo IPO siku anaweza kukushangaza. Je umejipangaje?

Sisemi ili uishi Kwa hofu, bali najaribu kuelezea uhalisia ambao wengi hawaupendi.

Tena Bora zamani, mitoto ya kike siku hizi imejawa na ubinafsi,

Likitaka kuolewa na wewe litajiangalia lenyewe litapata nini, utaweza kulitunza, utaweza kutunza watoto wake na kuwasomesha, utaweza kuisaidia familia yake!

Kamwe hayafikirii kuwa litakusaidia vipi wewe ili ufanikiwe, yanachowaza ni maslahi Yao.
Mkizaa watoto, linasubiri wajiweze kidogo wakishafikia umri wa utafutaji sio ajabu Hilo limwanamke likakuacha na sio ajabu watoto wasiwe wakwako.

Siku zote Taikon huwaga nasema, kabla hujaoa au kuolewa ni lazima uwe umeshaijua hatma yako.

Niishie hapa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam

Mwandishi umejitahidi kutoa mawazo yako katika swala litakalokufanya na wewe unikumbuke text yako ulioichapisha kipindi hicho kikifika

Kuhusu "kujipanga kutengwa na familia yako" hili ni Jambo la kifikra zaidi na Uhuru wa akili Sana Sana maana kila kiumbe kinatengwa au kujitenga chenyewe kutokana na nyakati zilizopangwa na alieviumba viumbe vyote mfano nyakati za utoto, ujana, utuuzima na nyakati za uzee hizi ndizo hutengana kwa kuonyesha badiliko ulilonalo kwa Sasa linakuhitaji ujitenge ili uishi vizuri katika ilo badiliko ukiwa kimtazamo wa fikra na Hadi utendaji ili jamii ufurahie badiliko lako na kunufaika na Hali ya kujitenga kwako

Kuhusu hoja ya siku za mwisho za kuzeeka jinsigani mtu ajipange katika Hali ya kutengwa siwezi kusema kunaukweli kiasi gani na uongo kiasigani katika point ulizoainisha mfano..

1) kuhusu kujiwekea akiba ya mashamba au Mali ya kukulinda uzeeni ni Jambo zuri ila haina maana mzee kuanzia miaka 60 aanze kukimbizana na mashamba au biashara icho sio kipindi chake kipindi hicho anatakiwa kula pension yake yeye na mkewe Hadi Mungu atakapo wachukua inahitajika afurahie na kuyaishi maisha ya uzee na mahitaji yake makubwa ni chakula na kupumzika japo na mazoezi ya kutembea tembea kujihimarisha mwili uku akipata furaha ya kufurahi na wajukuu zake na endapo akiwa hakufanikiwa kujiwekea pension Basi jamii inayomzunguka lazima ichukue uangalifu wa kumtunza katika mahitaji hayo ya chakula kwamaana tunazungukwa na makanisa pamoja na misikiti hiyo inanguvu kubwa kuwatunza ikisaidiwa na serikali kwa mikono ya wahisani

Tunafanya hivi ili kuvuna matunda yaliopo kwa wazee wetu ili kujenga kizazi chenye mzunguko kamili wa makundi yote muhimu kuishauri serikali na hata kuifundisha jamii kupitia hekima na historian za maisha zilizohifadhiwa mioyoni mwa wazee wetu .
 
Kwa mara ya kwanza leo nimekuelewa kiuhalisia kabisa bila chenga.

Hii thread Maprofesa waingize kwenye mitaala ya vyuo vyetu.

Solution ya hili walikuwa nayo viongozi wa kiroho nao wamefeli wamegeuka maharamia wa kupora tu pesa za waumini kwa kisingizio cha sadaka huku wakitumia mistari ya vitabu vitakatifu kuhalalisha uharamia wao wakati ukwwli ni kwamba Mungu haitaji pesa ya binadamu na wala Mungu hajawahi kuumba pesa.
 
Naam Mkuu.
Wanashindwa kusema ukweli kuwa, zile pesa ni kwaajili ya Huduma Yao wanayoitoa Kama watuwengine watoavyo Huduma.

Niliwahi andika pia

Mwandishi umejitahidi kutoa mawazo yako katika swala litakalokufanya na wewe unikumbuke text yako ulioichapisha kipindi hicho kikifika

Kuhusu "kujipanga kutengwa na familia yako" hili ni Jambo la kifikra zaidi na Uhuru wa akili Sana Sana maana kila kiumbe kinatengwa au kujitenga chenyewe kutokana na nyakati zilizopangwa na alieviumba viumbe vyote mfano nyakati za utoto, ujana, utuuzima na nyakati za uzee hizi ndizo hutengana kwa kuonyesha badiliko ulilonalo kwa Sasa linakuhitaji ujitenge ili uishi vizuri katika ilo badiliko ukiwa kimtazamo wa fikra na Hadi utendaji ili jamii ufurahie badiliko lako na kunufaika na Hali ya kujitenga kwako

Kuhusu hoja ya siku za mwisho za kuzeeka jinsigani mtu ajipange katika Hali ya kutengwa siwezi kusema kunaukweli kiasi gani na uongo kiasigani katika point ulizoainisha mfano..

1) kuhusu kujiwekea akiba ya mashamba au Mali ya kukulinda uzeeni ni Jambo zuri ila haina maana mzee kuanzia miaka 60 aanze kukimbizana na mashamba au biashara icho sio kipindi chake kipindi hicho anatakiwa kula pension yake yeye na mkewe Hadi Mungu atakapo wachukua inahitajika afurahie na kuyaishi maisha ya uzee na mahitaji yake makubwa ni chakula na kupumzika japo na mazoezi ya kutembea tembea kujihimarisha mwili uku akipata furaha ya kufurahi na wajukuu zake na endapo akiwa hakufanikiwa kujiwekea pension Basi jamii inayomzunguka lazima ichukue uangalifu wa kumtunza katika mahitaji hayo ya chakula kwamaana tunazungukwa na makanisa pamoja na misikiti hiyo inanguvu kubwa kuwatunza ikisaidiwa na serikali kwa mikono ya wahisani

Tunafanya hivi ili kuvuna matunda yaliopo kwa wazee wetu ili kujenga kizazi chenye mzunguko kamili wa makundi yote muhimu kuishauri serikali na hata kuifundisha jamii kupitia hekima na historian za maisha zilizohifadhiwa mioyoni mwa wazee wetu .

🙏🏾🙏🏾🙏🏾

Mawazo mazuri
 
Wewe kuna dunia yako unayoishi na siyo hii tuliyopo.

Kizazi cha leo mwanaume anapamba ili aipe good time familia, lakini mwanamke (Siyo wote) ila wengi wao akipata pesa na uhakika wa financial flow anawaza kujitenga na kuachana na mume.

Kimsingi hii thread inawahusu kwa 99% wanaume.
 
UTAFANYAJE PALE FAMILIA YAKO ITAKAPO KUTENGA?

Anaandika, Robert Heriel

Pengine hujawahi fikiri, na wengi hatufikirii Jambo hili, hata likitokea tunaona Kama ndoto Fulani hivi.
"Watoto wangu wanitenge? Haiwezekani!"
" Mke au mume wangu anitenge? Haiwezekaniki!"
Wengi hufikiri hivyo, tena wengine huzijali familia ZAO Kwa upendo mwingi mwingine upendo uliopitiliza.

Lakini kama kuna Jambo ambalo kizazi cha sasa kinapaswa kulitarajia basi ni SUALA LA KUTENGWA NA FAMILIA YAKO.
Ninaposema Familia yako ninamaanisha Wewe, mwenza wako na watoto wako. Sio familia ya wazazi wako,

Dunia ya leo imekaa kimtego mtego, akili zaidi ni muhimu kuliko Imani na hisia.
Kuitenga akili yako ni kuiharibu future yako.

Taikon Kwa jicho pevu linaniambia kuwa miaka ijayo wengi wetu tutatengwa Kama sio kutelekezwa na wanafamilia zetu wenyewe, watoto wetu tuliowazaa Sisi wenyewe, na wenza wetu tuliowapenda Kwa mioyo yeti na kuwatumikia Kwa miaka mingi.

Swali: je Tumejiandaaje?

Pengine usinielewe vizuri, pengine wengine wakaniona Taikon nimechanganyikiwa na kuvurugwa na mambo kichwani. Ila siku zote Taikon ni mtu ninayeyazungumza mambo Kwa uwazi pasipo kumpendelea yeyote.

Siku moja hautaamini, watoto uliowasomesha na kuvuja jasho na damu ili wafanikiwe wakikutenga na kukuona kero, wala sio mbali ni kesho kutwa tuu.

Swali; umejipangaje?

Niliwahi kusema; maisha kila siku yanatufundisha kujitegemea wenyewe na kumtegemea Mungu pekee yake ili tuwe na furaha ya kweli. Kwa maana furaha ya kweli ipo katika kujitegemea na kumtegemea Mungu.

Hujanielewa?

Jipange, jiandae, jidhatii na Linda hatma yako.
Hatma yako usiiache Kwa yeyote Yule hasa Kwa dunia ya sasa. Hutak kuniamini? Shauri yako!

Ni siku hiyo ukisikia Huyu mtoto sio wakwako ndipo utakapomkumbuka Taikon baada ya yeye kufanikiwa.

Ni siku hiyo mtoto wako WA kumzaa atakapo kuambia Baba/mama; familia yake nayo inamhitaji, inamajukumu mengi hivyo anashindwa kukuhudumia. Ndipo utakaponikumbuka Taikon wa Fasihi.

Ni siku hiyo ukimsikia Mkeo akikuambia tuachane tugawane Mali. Ndipo utakaposema ewaa! Taikon

Ni siku hiyo Mumeo atakapo kufurusha uondoke nyumbani kwenu anataka kuoa mke mwingine, utasema kuna mtu aliitwa Taikon aliwahi sema haya.
Binadamu hawakumbukagi Mema siku zote wanakumbuka mabaya Kwa sababu ya ubinafsi na ubaya walionao

Nataka kukuambia, hakuna anayependa kuombwa ombwa hasa akiwa anashida zake pia. Hata Mungu aliyekuumba hapendi uombeombe kwake.

Kila mtu atabeba msalaba wake, hiyo ni SHERIA muhimu kila mtu mwenye akili lazima aiweke kichwani.

Baba au Mama kumuomba omba mwanao kutamfanya akutenge, kutamfanya asikusalimie mara Kwa mara kwani anajua kila akikusalimia kazi yako kulia shida. UTATENGWA! Utake usitake.

Taikon huwaga nasemaga ukweli wote hata kama unauma, najua wanadamu wengi wanapenda kujionyesha kuwa ni wema na hiyo huwafanya kuwa wanafiki.

Ili usitengwe kuna mambo lazima uwe nayo!

Lazima uhangaike kuyapata, ukifanikiwa kuyapata basi huenda utakuwa umejiweka katika nafasi nzuri ya kutokutengwa.

Ni lazima tujipange vijana, usije ukawa Kama Mpumbavu ukasema siku hizi hatuzeeki hivyo unaponda maisha bila kujiandaa na Pambano lako la mwisho la uzeeni. Unasema utakufa kabla ya uzee, haya vipi usipokufa, miaka sabini ikakukuta upo Duniani na huna hili wala lile.

Mjini pamekushinda kununua viwanja basi nenda vijijini Huko kanunue mashamba walau ya laki 3. Jenga kibanda hata cha matope ukijiandaa na Pambano la mwisho.

Andaa mazingira, tafuta Maeneo potential Kwa ajili ya kujihami.

Sio ununue Maeneo yasiyoeleweka, tabia ya nchi mbovu, hakuna rutuba na wala hakuna mifumo ya maji Kama mito au mabwawa.

Eneo kubwa mi muhimu kwani litakusaidia kuendeshea shughuli zako, kama kufuga kuku, Mbuzi, ng'ombe, kupanda Miti ya matunda na kulima wakati mwingine.

Angalau uwe na heka tano mahali kabla ya miaka 45 Kwa ajili ya kujiandaa wewe Kama wewe endapo utatelekezwa au kususwa.

Usijeiga Wahindi maana kuna Vijana wajinga Sana. Unaiga wahindi kwani wewe mhindi?
Unaiga Wazungu kwani wewe Mzungu?

Kila jamii inamifumo yake ndugu zanguni.

Mbali na Ardhi Kama utapata nafasi JIPANGE kuwa na miradi mingine midogo midogo ambayo utakusaidia pindi ukitelekezwa.

Vijana wa siku hizi usiwategemee hata kidogo, watakutelekeza hapo licha ya kuwa wewe ndiye Mama au Baba Yao.

Ninayo mifano ya kutosha juu ya hili. Ikiwa mifano hii inatokea miaka hii, hujiuliza miaka ishirini au thelasini ijayo wakati wewe ukiwa Mzee itakuwaje?

Kumbuka binadamu ni mnyama aliyeji-brand, Kama unavyoona Wanyama wanavyoishi ndivyo Sisi tutakavyoishi huko mbeleni.

Usizae Kwa lengo la kuja kusaidiwa na watoto.

JIPANGE.

Mumeo au Mkeo huyo IPO siku anaweza kukushangaza. Je umejipangaje?

Sisemi ili uishi Kwa hofu, bali najaribu kuelezea uhalisia ambao wengi hawaupendi.

Tena Bora zamani, mitoto ya kike siku hizi imejawa na ubinafsi,

Likitaka kuolewa na wewe litajiangalia lenyewe litapata nini, utaweza kulitunza, utaweza kutunza watoto wake na kuwasomesha, utaweza kuisaidia familia yake!

Kamwe hayafikirii kuwa litakusaidia vipi wewe ili ufanikiwe, yanachowaza ni maslahi Yao.
Mkizaa watoto, linasubiri wajiweze kidogo wakishafikia umri wa utafutaji sio ajabu Hilo limwanamke likakuacha na sio ajabu watoto wasiwe wakwako.

Siku zote Taikon huwaga nasema, kabla hujaoa au kuolewa ni lazima uwe umeshaijua hatma yako.

Niishie hapa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Robert Heriel:

Sahihi kabisa kwa andiko lako. Tufikiri kitu kidogo "kutengwa" ni wazo na "kujitenga" ni wazo. Yote hayo unaweza kujiandaa na ukayapata lakini kama pia hutotengeneza mahali ulipo moyo wako. Pengine unaweza kuwa umejitenga na kujifunga kifikira na mawazo. Huwezi kukwepa asili ya wanadamu ila una uwezo wa kubadilisha mitizamo wa kuona jinsi unavyofikiria.

Asante mkuu, kwa kutuelimisha na muda wako🤝
 
Mkuu Tupo pamoja.

Nashukuru pia Kwa maoni yako
 
Huu ndo ukweli

Ntashangaa sana kama kuna kiumbe atachomoza kichwa chake aanze kupinga.

Lakini Bwana ROBERT HERIEL tupe siri ya ufahamu wako maana maandiko yako yanafikilisha sana.
UTAFANYAJE PALE FAMILIA YAKO ITAKAPO KUTENGA?

Anaandika, Robert Heriel

Pengine hujawahi fikiri, na wengi hatufikirii Jambo hili, hata likitokea tunaona Kama ndoto Fulani hivi.
"Watoto wangu wanitenge? Haiwezekani!"
" Mke au mume wangu anitenge? Haiwezekaniki!"
Wengi hufikiri hivyo, tena wengine huzijali familia ZAO Kwa upendo mwingi mwingine upendo uliopitiliza.

Lakini kama kuna Jambo ambalo kizazi cha sasa kinapaswa kulitarajia basi ni SUALA LA KUTENGWA NA FAMILIA YAKO.
Ninaposema Familia yako ninamaanisha Wewe, mwenza wako na watoto wako. Sio familia ya wazazi wako,

Dunia ya leo imekaa kimtego mtego, akili zaidi ni muhimu kuliko Imani na hisia.
Kuitenga akili yako ni kuiharibu future yako.

Taikon Kwa jicho pevu linaniambia kuwa miaka ijayo wengi wetu tutatengwa Kama sio kutelekezwa na wanafamilia zetu wenyewe, watoto wetu tuliowazaa Sisi wenyewe, na wenza wetu tuliowapenda Kwa mioyo yeti na kuwatumikia Kwa miaka mingi.

Swali: je Tumejiandaaje?

Pengine usinielewe vizuri, pengine wengine wakaniona Taikon nimechanganyikiwa na kuvurugwa na mambo kichwani. Ila siku zote Taikon ni mtu ninayeyazungumza mambo Kwa uwazi pasipo kumpendelea yeyote.

Siku moja hautaamini, watoto uliowasomesha na kuvuja jasho na damu ili wafanikiwe wakikutenga na kukuona kero, wala sio mbali ni kesho kutwa tuu.

Swali; umejipangaje?

Niliwahi kusema; maisha kila siku yanatufundisha kujitegemea wenyewe na kumtegemea Mungu pekee yake ili tuwe na furaha ya kweli. Kwa maana furaha ya kweli ipo katika kujitegemea na kumtegemea Mungu.

Hujanielewa?

Jipange, jiandae, jidhatii na Linda hatma yako.
Hatma yako usiiache Kwa yeyote Yule hasa Kwa dunia ya sasa. Hutak kuniamini? Shauri yako!

Ni siku hiyo ukisikia Huyu mtoto sio wakwako ndipo utakapomkumbuka Taikon baada ya yeye kufanikiwa.

Ni siku hiyo mtoto wako WA kumzaa atakapo kuambia Baba/mama; familia yake nayo inamhitaji, inamajukumu mengi hivyo anashindwa kukuhudumia. Ndipo utakaponikumbuka Taikon wa Fasihi.

Ni siku hiyo ukimsikia Mkeo akikuambia tuachane tugawane Mali. Ndipo utakaposema ewaa! Taikon

Ni siku hiyo Mumeo atakapo kufurusha uondoke nyumbani kwenu anataka kuoa mke mwingine, utasema kuna mtu aliitwa Taikon aliwahi sema haya.
Binadamu hawakumbukagi Mema siku zote wanakumbuka mabaya Kwa sababu ya ubinafsi na ubaya walionao

Nataka kukuambia, hakuna anayependa kuombwa ombwa hasa akiwa anashida zake pia. Hata Mungu aliyekuumba hapendi uombeombe kwake.

Kila mtu atabeba msalaba wake, hiyo ni SHERIA muhimu kila mtu mwenye akili lazima aiweke kichwani.

Baba au Mama kumuomba omba mwanao kutamfanya akutenge, kutamfanya asikusalimie mara Kwa mara kwani anajua kila akikusalimia kazi yako kulia shida. UTATENGWA! Utake usitake.

Taikon huwaga nasemaga ukweli wote hata kama unauma, najua wanadamu wengi wanapenda kujionyesha kuwa ni wema na hiyo huwafanya kuwa wanafiki.

Ili usitengwe kuna mambo lazima uwe nayo!

Lazima uhangaike kuyapata, ukifanikiwa kuyapata basi huenda utakuwa umejiweka katika nafasi nzuri ya kutokutengwa.

Ni lazima tujipange vijana, usije ukawa Kama Mpumbavu ukasema siku hizi hatuzeeki hivyo unaponda maisha bila kujiandaa na Pambano lako la mwisho la uzeeni. Unasema utakufa kabla ya uzee, haya vipi usipokufa, miaka sabini ikakukuta upo Duniani na huna hili wala lile.

Mjini pamekushinda kununua viwanja basi nenda vijijini Huko kanunue mashamba walau ya laki 3. Jenga kibanda hata cha matope ukijiandaa na Pambano la mwisho.

Andaa mazingira, tafuta Maeneo potential Kwa ajili ya kujihami.

Sio ununue Maeneo yasiyoeleweka, tabia ya nchi mbovu, hakuna rutuba na wala hakuna mifumo ya maji Kama mito au mabwawa.

Eneo kubwa mi muhimu kwani litakusaidia kuendeshea shughuli zako, kama kufuga kuku, Mbuzi, ng'ombe, kupanda Miti ya matunda na kulima wakati mwingine.

Angalau uwe na heka tano mahali kabla ya miaka 45 Kwa ajili ya kujiandaa wewe Kama wewe endapo utatelekezwa au kususwa.

Usijeiga Wahindi maana kuna Vijana wajinga Sana. Unaiga wahindi kwani wewe mhindi?
Unaiga Wazungu kwani wewe Mzungu?

Kila jamii inamifumo yake ndugu zanguni.

Mbali na Ardhi Kama utapata nafasi JIPANGE kuwa na miradi mingine midogo midogo ambayo utakusaidia pindi ukitelekezwa.

Vijana wa siku hizi usiwategemee hata kidogo, watakutelekeza hapo licha ya kuwa wewe ndiye Mama au Baba Yao.

Ninayo mifano ya kutosha juu ya hili. Ikiwa mifano hii inatokea miaka hii, hujiuliza miaka ishirini au thelasini ijayo wakati wewe ukiwa Mzee itakuwaje?

Kumbuka binadamu ni mnyama aliyeji-brand, Kama unavyoona Wanyama wanavyoishi ndivyo Sisi tutakavyoishi huko mbeleni.

Usizae Kwa lengo la kuja kusaidiwa na watoto.

JIPANGE.

Mumeo au Mkeo huyo IPO siku anaweza kukushangaza. Je umejipangaje?

Sisemi ili uishi Kwa hofu, bali najaribu kuelezea uhalisia ambao wengi hawaupendi.

Tena Bora zamani, mitoto ya kike siku hizi imejawa na ubinafsi,

Likitaka kuolewa na wewe litajiangalia lenyewe litapata nini, utaweza kulitunza, utaweza kutunza watoto wake na kuwasomesha, utaweza kuisaidia familia yake!

Kamwe hayafikirii kuwa litakusaidia vipi wewe ili ufanikiwe, yanachowaza ni maslahi Yao.
Mkizaa watoto, linasubiri wajiweze kidogo wakishafikia umri wa utafutaji sio ajabu Hilo limwanamke likakuacha na sio ajabu watoto wasiwe wakwako.

Siku zote Taikon huwaga nasema, kabla hujaoa au kuolewa ni lazima uwe umeshaijua hatma yako.

Niishie hapa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom