Imezoeleka siku za siku kuu watu hula pilau, biriani, chipsi kwa familia nyingi, siku ya sikukuu harufu za vyakula hushabiiana kwa nyumba nyingi kwani wengi hula vyakula vya aina moja.
Ni kama tumekosa ubunigu hivi wa kuonesha utofauti kwenye siku muhimu kama siku za sherehe na sikukuu.
Hebu tujadili umepanga kula nini au kama kawaida pilau kuku na ng'ombe au mbuzi jumlisha kachubali na ka juisi?