Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,367
Jamani sikufahamu hii nikajikuta nimegundua bila kujua,inawezekana we unafahamu ila kwangu ni mara ya kwanza kuona,naomba jaribu kwenye computer yako,fungua browser ya google chrome,halafu shift mp3 music kutoka kwenye file yako halafu uweke kwenye google chrome,utashangaa inaanza kuplay,sijajua mwanzoni kwamba unaweza kucopy mp3 na kupaste kwenye google chrome na ikaimba,yaani inajifungulia player yake.Mi mara ya kwanza nilifanya kimakosa but nikashangaa mp3 inaplay.