Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,721
Kwani wewe muha?
..... eti wanasema wanahitaji mwanamke mwenye uwezo wa kuzaa watoto wengi..... hili mnalionaje wadau kwanini wanaume wengi wanapenda kuzaa watoto wengi.... mimi kwa kweli ni kijana bado sina mtoto bado nna ka elimu kadogo lakini namimi natamani sana mwanamke mwenye uwezo wa kuzaa watoto wengi, mambo ya uzungu mi kwangu hayana nafasi hata kitogo " suala la mtoto mmoja tu au wawili tu, ntakuacha"....... ONYO: ILA UWEZO WA KUWALEA UWEPO
nani alikwambia muha anapenda kuzaaa watoto wengi ? muulize mpare anayetaka kueneza majina ya ukoo , maana unakuta mpare anakwambia mimi nimemzaa mjomba , baba , shangazi n.kKwani wewe muha?
Mh kama labour mnaenda nyie ndo mtake watoto wengi
Wanaume nyie..!
nani alikwambia muha anapenda kuzaaa watoto wengi ? muulize mpare anayetaka kueneza majina ya ukoo , maana unakuta mpare anakwambia mimi nimemzaa mjomba , baba , shangazi n.k