Umeishia wapi mchakato wa vitambulisho vya taifa?

Umeishia wapi mchakato wa vitambulisho vya taifa?

Vitambulisho vya taifa ni utapeli mwingine wa ccm nchi hii.
 
Huu nao nimkanganyiko usio wa lazima kwani watumishi wa umma ndo watanzania wa kweli kuliko wengine? kitu ambacho wangefanya ni kuhkikisha wanawamaliza wakazi wote wa dar bila kubagua ni mtumishi ,mfanyabiashara,au asiye na kazi baada ya hapo ndo wahamie mikoa mingine.
Ni kweli mkuu lakini kama ulifuatilia mchakato toka mwanzo utabaini walianza na watumishi wa umma/serikali. Sasa kilichofanyika hapo ni kile kile ambacho hata kwenye utoaji huduma kipo yaani FIFO=First In First Out.
 
Ha ha ha ha ha umenikumbusha mbali kaka
 
Huu nao nimkanganyiko usio wa lazima kwani watumishi wa umma ndo watanzania wa kweli kuliko wengine? kitu ambacho wangefanya ni kuhkikisha wanawamaliza wakazi wote wa dar bila kubagua ni mtumishi ,mfanyabiashara,au asiye na kazi baada ya hapo ndo wahamie mikoa mingine.
Mbona wameeleza vizuri kwamba kwa Dar na Kilombero ilikuwa pilot na baada ya hapo walikuja Dar wakazi wote wakatakiwa kuanza fomu ambazo tayari, wameripoti kwamba wanazifanyia kazi na hivi karibuni wanachukua alama za vidole, picha baada ya kugawa IDs kwa waofanya kazi serikalini.
 
Wadau hivi huu mchakato wa viatmbulisho vya taifa ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na tukashudia viongozi waandamizi wa serkali wakigawiana umeishia wapi? Mara ya mwisho ulikuwa Dar na Zanzibar baada ya hapo ikawa kimya kulikoni?
Tusaidieni kufahamu kwa mnaojua kinachoendelea.

Nadhani bado wanajipanga, Si tusubiri 2014 si walisema vitakuwa vimeshatolewa kwa wananchi wote.
 
Mbona wameeleza vizuri kwamba kwa Dar na Kilombero ilikuwa pilot na baada ya hapo walikuja Dar wakazi wote wakatakiwa kuanza fomu ambazo tayari, wameripoti kwamba wanazifanyia kazi na hivi karibuni wanachukua alama za vidole, picha baada ya kugawa IDs kwa waofanya kazi serikalini.

Siwezi kusemea sana lakini hali sio, Hata watumishi wenyewe katika hayo maeneo hawana taarifa zozote juu ya zoezi linavyoendelea.
 
Haah!! kipindi kagasheki akiwa naibu waziri mambo ya ndani, mbele ya JK akisisifia eti ''mheshimiwa rais naakuahidi kutekeleza ilani ya CCM kwamba kabla ya mwisho wa mwaka 2012 kila mtanzania atakuwa na kitambulisho cha taifa..., hadi sasa yaleyale ya serikali dhaifu..........!

Hata Kagasheki mwenyewe hana pamoja na kwamba alikuwa waziri na ni waziri .Usanii bwana mbaya sana
 
Wadau hivi huu mchakato wa viatmbulisho vya taifa ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na tukashudia viongozi waandamizi wa serkali wakigawiana umeishia wapi? Mara ya mwisho ulikuwa Dar na Zanzibar baada ya hapo ikawa kimya kulikoni?
Tusaidieni kufahamu kwa mnaojua kinachoendelea.

Chezea Tanzania wewe! Wizi mtupu!
 
Duuh.. Baada ya kuona hii issue imebidi niangalie kumbukumbu hapa.. Nilijaza form za kitambulisho cha uraia tarehe 28 July.. 2012.. Na hiyo ilikuwa baada ya kukaa foleni kwa masaa matatu..

Mpaka leo imekuwa kimya.. Naendelea kusubiri..
 
Kwa walio makazini kuna baadhi ya ofisi wameshapewa vitambulisho. Binafsi nikitazama ni zoezi ni gumu sana. Na inaonekana NIDA hawakujiandaa hasa suala la vitendea kazi na watendaji kazi.

KAMA KAWAIDA YA TAASISI ZETU!!!! Tunatia aibu...
 
Hivi kuna watu bado hawajapata vitambulisho vya taifa? Mimi changu kimeanza kuchakaa, nina mpango wa kubadilisha
 
Kwa walio makazini kuna baadhi ya ofisi wameshapewa vitambulisho. Binafsi nikitazama ni zoezi ni gumu sana. Na inaonekana NIDA hawakujiandaa hasa suala la vitendea kazi na watendaji kazi.

mkuu mkempia ni kweli hata mimi nimekipata juzi juzi. ngoma ipo kwa wananchi huko mitaani sijui watapata? changu nimekiweka kabatini tu. bora nitumie cha kupigia kura. nitaanza kukitumia baadb ya watanganyika wengi kuvipata.
 
Ndiyo maana nikakwambia sio kila taarifa lazima wewe uione kwa urahisi. Taarifa nyingine zimekuwa coded, labda kukusaidia tu kama una kitambulisho hicho sasa hivi geuza upande wa nyuma.

Utaona maandishi: THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA CITIZEN IDENTINTY CARD, chini ya hapo kuna tarakimu 20. Tarakimu 8 za kwanza zinaonesha mwaka wako wa kuzaliwa.

Kuhusu kutokuwa na jinsi, sio kweli usipotoshe umma kwa kuwa mara baada ya "jina la mwisho" pale chini, jinsi ya mmiliki wa ID ipo. Baada ya hapo inafuatia tarehe ya mwisho wa matumizi yake.

Naomba kutoa taarifa.

mkuu grafani, nimecheki nambari za mwanzo ni kweli ni mwaka wangu wa kuzaliwa ila umeandikwa kinyumenyume, year,month,date. thanks kwa maelezo yako.
 
Kwa walio makazini kuna baadhi ya ofisi wameshapewa vitambulisho. Binafsi nikitazama ni zoezi ni gumu sana. Na inaonekana NIDA hawakujiandaa hasa suala la vitendea kazi na watendaji kazi.

Yah true kuna jamaa hapa mtaani kwetu anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani, ye'amekwishapata
 
Uliza vazi la taifa liliishia wapi kwanza na tume ya nchimbi iliundwa na kula hela.
 
Soma magazeti ya Habari Leo ukurasa wa pili na Daily News ukurasa wa nne wanagawa Vitambulisho huko.
Wanavigawa kwa watumishi wa serikali kwa wao ndio watanzania sana au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom