Umeipenda barabara ipi hapa?

zote, ila hii ya mwisho hata barabara ya matombo haiingii
 
Inauma sana kuona hii wakati barabara zetu hazina mwezi tokea zijengwe ni mashimo tu.refer barabara ya mchepo kutoka Kimara stop over to Kimara suka. Africana sinza to Mabatini Polisi. Sinza kijiweni to MTOGOLE.Afu wakadarasi wazawa wanataka kupewa kazi Kubwa
 
Duh.. Good looking roads, massive investment though.
 

Mlandizi to Chalinze
 
Mlandizi to Chalinze

Mkuu ya mlandizi to chalinze pale water table iko juu pale panahitaji hela za kutosha na pia akili ya ziada.Ila hizi za huku ndani ya dar hasa kinondoni wakandarasi wazawa wanatia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…