Umegundua nini?

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,562
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1398339460.736581.jpg
    33.2 KB · Views: 640
Tarehe iliyotengenezwa hiyo badhaa ni ya magumashi hao wameandika trh 13 may 2014 wakati ndio kwanza huu mwezi ni wa 4
 
Hii ndio Bongo land TBS wako wapi.
 
Hivi kuna wizara ya viwanda na biashara tanzania?

Hivi kuna kitu kinaitwa TBS and TFDA?

kazi ipo!
 
Shelf life yake itaanzia mwezi May...
 
Imeuzwa tangu mwaka jana na inategemewa kuuzwa hadi 2015 mwaka mmoja zaidi tangu ime expire tutakula vibovu humu duniani!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…