Umegundua nini ktk ndoto hii?

Umegundua nini ktk ndoto hii?

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Usiku mmoja mume na mke wake wakiwa wamelala. Mke akiwa ndani ya ndoto akanza kusema "kimbia mume wangu anakuja... kimbia mume wangu anakuja..." Hafla mume akashtuka na kuanza kukimbia lakini akagundua kuwa yupo kwake ikabidi arudi. Lakini wakati anakimbia mke naye alishtuka na kumuona mume wake anakimbia. Akamuuliza mume wake "unakimbia nini?" Mume hakujibu ila naye kwa ukali akamuuliza ni nani huyo uliyekuwa unamuambia akimbie?
 
wote vicheche hahahaha wana saidia fundi pembeni:rain:
 
Mwanamke anaonekana ni kicheche coz hata ktk ndoto zake anawaota mabwana ktk njia za kutoa mchezo kwa kuibia lkn mume naye ni kicheche aliposikia kimbia mume wangu anakuja, alikimbia ala alisita baada ya kujiona yupo kwake. Inshort waligunduana.... ngoma droo
 
wote hawajatulia teh teh nawaona wanavyotoka jasho bp juu haloooow micharukoge
 
duh! Ninafikir wote hawa wanatabia za kucheza mech za ugenini
 
Back
Top Bottom