Umegundua nini hapa?

Hivi kweli kwa mwendo huu tutafika? Kuna ubaya gani kwa product ya mwenzio kuonekana kwenye media yako? Kuna mazingira hayaepukiki kama haya ya maji. Kulikuwa na sababu za kitaalam kumenya karatasi za maji? tunayajua ni Kilimanjaro hayo!
 
Hahaha nimeipenda hiyo. No kupeana promo bila ada, kwa mtazamaji makini ndo utajiongeza ila wenzangu na mie wa kule katerero hatujui ni kipi kilichopo mezani zaidi ya kuona maji tu.
 
Kama lengo ni hilo,si wangeweka kwenye glass tu.
Maana wazoefu chupa wanaijua ni ya maji gani.
 
tigo nilitupaga zamani iko slow thana kesho itabidi nitafute na ya voda in case of emergence

Tigo me naona iko poa kidogo labda na huko kwenu ni shiida....irudishe tu namba ile ile
 
wanatangaza fursa huku wanahujumu fursa za wengine zisizo funikika bora wasingaliweka kabisa.inaitwa utaipenda japo kimoyomoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…