Umegundua nini hapa?

anataka kutokea dirishani, wewe umegundua nini
 
Hao wanaume wote watano nini kilichowatisha hivyo,tembo au!!!!itabidi tufuatilie uanaume wao maana kwa crew yote hiyo hata kama ameingia chatu ndani hamwezi kosa plan B,mwone huyo aliyepanda na pazia sijui anataka kutokea darini?
 
Mabwabwa hao....wanaogopa jidudu mende!
 
Wanamwinda panya!! Kizazi cha dot.com,wanaume wamepanda juu ya viti kumkimbia kitoweo. Panya road atakuwa... Dada zetu wana taabu sana
 
Aliyeshika kiatu atakuwa mjukuu wa kagame
 
duuh itakuwa panya, jamaa atavua mpaka jeans
 
Katika pozi hilo unaingia ndani huku unaye mwingine yule wa mapambo anaye nesa nesa theni unawarushia.

Akiwa bado yuko hewani hajatua chini utawaona watu wakionyesha ukomandoo kwa kudanda hata juu ya dari bila kamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…