Umefunzwa wapi niongeze?

Naona unajifariji nguvu ya soda
 
Naona unajifariji nguvu ya soda
Sijifariji kapeace,mwanaume upige dk40 kwenda juu, hapo sjahesab romanc na maandaliz,nipime oil,..nikipige brush,katerero,..nikupapase mwil mzima had ukucha,sometime niende uvinza,af nikupige 40min..huwez omba round ya pil,kwa mim lakin,namii baada ya hapo ham zote huisha,..huo ndo ukwel wangu,sipigag vi3 mim,.na ukiona nmekupiga vi3 ujue nilikua nafanya bora liende tuu
 
Pole sana kwa masaibu yaliyokukuta
 
Ficha aibu yako basi yaani vitatu ni bora liende hahahahahah aisee
 
Ficha aibu yako basi yaani vitatu ni bora liende hahahahahah aisee
Vi3,kwanza sjawai,ni mda mref sana hyo,..mi napigaga ki1 tuu,lakin hiko ki1 nikijumlisha na maandaliz na mbwembwe zingne,ni zaid ya lisaa,..ukiona mwanaume anakupiga vi3 kwenda juu ujue cha jogoo,huo ndo ukwel kapeace,..zaman nilivokua najifunza kutia ndo nilikuaga napiga had vi4 or vi3,
 
Wapo wanaoenda mpk saba na Tisa kwa usiku mmoja baki hivyo hivyo tu
 
Wanakera sana wanaume wengine,sijui wakoje sijui nguvu imeishaaaa hata sielewi...
Kwani wewe, uwezo wako wa kupigwa mawe gizani upoje, unahimili vishindo vingapi kimyakimya bila ya kupiga kelele ama kulia ukiashiria kuumizwa?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…