Umefika wakati sasa tuseme basi!!!

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Umefika wakati sasa tuwaambie watawala wetu kuwa sasa imetosha!

Tuwaambie tumetosha kuendelea kuogelea kwenye vinyesi kila mara yanapotokea manyunyu katika miji yetu mikuu, tuseme basi sasa hatutaki kuendelea kutatizwa na changamoto ndogo ndogo kama miundombinu ya mitaro ya maji machafu na maji ya mvua.....

Tuseme basi sasa hatutaki tena kuendelea kukwepa mabomu yanayotakiwa kutumika kutulinda pindi tunapovamiwa...


Umefika wakati Watanzania tuanze kutumia nguvu yetu kuwaambia watawala wetu ni kitu gani hatutaki na wakiendelea kukifanya tukatae, imefika wakati watanzania tutumie haki yetu ya kudai haki....

TUANDAMANE MPAKA WATAKAPO TENDA SAWA SAWA NA MATAKWA YETU, WALE NI WAFANYAKAZI WETU, kama wameshindwa TUAJIRI WENGINE WANAOWEZA na wakisndiwa nao tusisite kuwabebesha virago waje wengine na wengine mpaka tupate wanaoweza!
 
... ni mwasada mchakato wa katiba mpya bila udalali na tume huru ya uchaguzi kupitia bungeni ipelrekwe sasa hivi au tusionane wabaya!!!
 
Back
Top Bottom