Umefanana sura na baba au mama?

Mi nimefanana na mimi

Aahahahahahahhahahahaaaa

Siku zote hukosi vituko babu, kiukweli nimekumiss mnoo.

Wiki ijayo ntakuwa daslamu japo ratiba imebana ila Rodizo itahusika.
 
Ukimuona babangu umemuona Sakayo na ukimuona Sakayo umemuona babangu!!
 
Mi na mzee kama kopi vile,tukipishana usiku unaweza nipa shkamoo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…