Umeelewaje ujumbe uliopo hapo

Umeelewaje ujumbe uliopo hapo

Diesel generator

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
706
Reaction score
663
FB_IMG_1556207611271.jpeg
 
Ukiwa na taarifa nyingi unakuwa unajiamini hata uwezo wako kifikra unakuwa Juu
Unaona huyo mchumba hapo alivyomuandamisha huyo tipwatipwa.
 
Wanamaanisha Pia.. Msitumie Simu Mara Kwa Mara!
 
Mwili mdogo na mavitabu mengi (ujuzi wa kutosha ) vs mwili mkubwa na kakitabu kamoja (ujuzi kiduchu)


Observation
Ujuzi wa kutosha ni Bora zaidi kuliko limwili likubwa
 
Vitabu vina uzito wa kujenga ufahamu kuliko simu inakupa uwepesi usio na ufahamu mzito wa kug'amua vitu vya ufahamu mkuu
 
Kwamba wenye miili mikubwa hawana akili.....
 
Back
Top Bottom