Umeelewa nini kwenye hii Picha

Jela inakuita wewe,acha kupost uchochezi kama yafanyavyo yale magazeti mawili
 
Mshana, we mbona unatafutia watu kesi?
twambie wewe, yule aliyepandishwa juu na kukojolea watu hadharani ni nani!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji23]
 
Hapo kabla......nipeni kura tushirikiane......baadae baada ya kupanda......
Sitaleta chakula cha njaa
 
Tanzania Njaa hakuna, kuna mvuwa za kutosha.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…