Umeelewa nini hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeelewa nini hapa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by King Kong III, Feb 20, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  "Kila nikitaka kukuyombayomba,wewe unamrashani,sasa nimekukamata lazima nikukazimzumbwi."

  Hii ilikua maneno ya katuni ya zamani sana niliiona kwenye gazeti naona la uhuru au mzalendo au mfanyakazi.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Haah Lingua imechakachuliwa. ngoja wenyewe waje...mi nmetoka kapa
   
Loading...