Atapata kwa kuwatumia wapinzani!Yaani Masoud ni hatari yaani anataka kusema substitutions za mawaziri na wakuu wengine wakiisha sub rais utapata wapi wengine?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unadhani yeye hajui kuna kuuliwa? sasa katuni kama hiyo utamkamataje?Yaani Masoud siku akipatwa, hataonekana tena! Maana si kwa utaalamu huu
....uunachemka, hakuna unalofanya, then akuchekee tuu !Mkuu anafanya sana sabu
Apunguze kutengua
Hujatoa jibuMagufuli ni kama gadiola anafanya vizuri