Chandim tulikuwatunauita, masharti yake ni timu moja kucheza vifua wazi,hakuna kuingia na viatu,kila anaeliona tukio ndo mwamuzi,magoli ni mawe lkn kuna ubishi eti mpira umegonga mwamba na kawaida kipenga cha kumaliza mpr ni kuanza kuingia giza. Thx 4 remainding me back bro.
Iki niengo, nakumbuka miaka ile yaani ilikuwa raha sana,
hii kitu tulikuwa tunaicheza peku full kudonoa wale watu wangu wa Soweto,Sinde,Mama John nk. wanaelewa maisha yalikuwaje.