B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Wadau!
Nimeambiwa kuwa nimechelewa kupeleka Posa Ukuryani, kumbukeni kuwa ilikuwa nipeleke posa kwao Mchumba wangu toka Mwaka huu mwanzoni kabisa ila wakawa wanaiahirisha kwamba baba hayupo, mara baba ana wageni toka nje ya nchi, sasa mm nikawa natumia fursa hiyo kumalizia ujennzi wa Nyumba yangu, nyumba imeisha mwezi wa nne nikatoa taarifa kwao kuwa tarehe 25 mwezi huu naleta posa, nikajibiwa kuwa Nimechelewa.
Shukuru mkuu wamekuambia ukweli, jipange tafuta msichana/mwanamke mwingine na ufuate taratibu zote.Amini kuna jambo umeepushiwa.!
usilazimishe oa kwingine ndugu,huyo mwanamke sio mbuzi wa mnada kwamba ulichelesha kulipa bei yake
bora hujalia kilio kikubwa..umejua mapema
Ok. Shukrani Kamanda.
Shukuru mkuu wamekuambia ukweli, jipange tafuta msichana/mwanamke mwingine na ufuate taratibu zote.Amini kuna jambo umeepushiwa.!
Mungu kakuepushia majangaaa mshukuru Mungu sanaaa
kumbe umekosa mke na ndio umemaliza ujenzi juzi juzi tu.! subiri sever ya pm zako itakavyojaa mbona wapo humu wengi tu
Pole mkuu lkn huwezi jua....every cloud has a silver lining
Wadau!
Nimeambiwa kuwa nimechelewa kupeleka Posa Ukuryani, kumbukeni kuwa ilikuwa nipeleke posa kwao Mchumba wangu toka Mwaka huu mwanzoni kabisa ila wakawa wanaiahirisha kwamba baba hayupo, mara baba ana wageni toka nje ya nchi, sasa mimi nikawa natumia fursa hiyo kumalizia ujennzi wa Nyumba yangu, nyumba imeisha mwezi wa nne nikatoa taarifa kwao kuwa tarehe 25 mwezi huu naleta posa, nikajibiwa kuwa Nimechelewa.
Pole mkuu lkn huwezi jua....every cloud has a silver lining
Kumbe na posa nazo zina deadline siku hz,bha!